Wasomi Huru Gerezani
Wasomi Huru Gerezani
by Denis Mpagaze
100 pages Swahili PDF
TZS 2,000
About this book
Wasomi Huru Gerezani ni kitabu kinachochambua changamoto za elimu ya kisasa na nafasi ya msomi katika jamii. Kinaibua maswali kuhusu thamani ya elimu, udhaifu wa mfumo wa elimu, maandalizi ya maisha na kustaafu, pamoja na uhusiano kati ya elimu na imani. Ni kitabu kinachomchochea msomaji kujiuliza: Je, elimu imetukomboa au imetufunga?
