SEXUS 18+

SEXUS 18+

by Dkt Dyaboli

147 pages Swahili PDF
TZS 2,000

About this book

DISCLAIMER / ANGALIZO (Usisome kitabu hiki kama huna akili timamu) Kitabu hiki kina maudhui yanayohusiana na afya ya uzazi, ujinsia, mahusiano na saikolojia ya ngono, na kimeandaliwa kwa madhumuni ya elimu na kuongeza uelewa wa jumla. Maudhui haya ni kwa wasomaji wenye umri wa miaka 18 na zaidi (18+). Hayakusudiwi kuwahamasisha wasomaji kushiriki katika vitendo vya ngono, bali kutoa maarifa na mtazamo wa kielimu kuhusu masuala ya uzazi, mwili, akili, hisia na mahusiano. Taarifa zilizomo ndani ya kitabu hazipaswi kuchukuliwa kama ushauri wa moja kwa moja wa kitabibu, kisaikolojia au kitaalamu. Kwa masuala yanayohusu afya yako binafsi, unashauriwa kupata ushauri kutoka kwa mtaalamu wa afya mwenye sifa na leseni. Wasomaji wanapaswa kutumia maudhui haya kwa uwajibikaji, heshima na kwa kuzingatia umri na mazingira yao.

What you'll learn

  • USISOME KAMA HUNA AKILI TIMAMU
Request a book