Jinsi ya Kuishinda Hofu ya Kuanza

Jinsi ya Kuishinda Hofu ya Kuanza

by Joel A. Nanauka

80 pages Swahili PDF
TZS 2,000

About this book

Kitabu hiki kinakusaidia kuelewa chanzo cha hofu inayokuzuia kuchukua hatua, kuvunja mashaka, na kuanza hata pale ambapo hujisikii tayari. Utajifunza jinsi ya kuacha kusubiri muda sahihi, kukabiliana na kutokamilika, na kubadilisha hofu kuwa hatua halisi.

Request a book