Core Genius
Free
Core Genius
by Joel A. Nanauka
58 pages Swahili PDF
Free
About this book
CORE GENIUS si kitabu cha kukuambia uwe mtu mwingine. Ni mwongozo wa kukusaidia kugundua wewe ni nani unapokuwa katika uwezo wako wa juu zaidi na jinsi ya kutumia uwezo huo kwa makusudi.
